Header Ads

Tahadhari kwa Madereva Jijini Mbeya

Kipande cha barabara ya njia Panda Isanga karibu na Hotel ya Lift Valey jijini Mbeya (LUPA WAY )ambacho kimejengwa upya kwa kuongezewa njia kimeleta sura mpya jijini hapa.

Ingawa kimeleta pia changamoto kwa madereva hasa kwa nyakati za usiku kwani hakuna taa hivyo nivema watumiaji wa barabara hii wakachukua tahadhari kwa kuto endesha kwa mwendo kasi ili kuepuka ajali zisizo za lazima.

Kwa hisani ya ...JAMIIMOJABLOG


No comments

Powered by Blogger.