Header Ads

Mgombea Urais wa Zanzibar Kupitia CUF, Maalim SEIF SHARIF HAMAD, aendelea na Kampeni Kisiwani Humo

Mgombea Urais kupitia CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia katika mkutano wa hadhara uwanja wa Masumbani jimbo la Chumbuni.
Wanachama na wafuasi wa CUF wakimsikiliza Maalim Seif huko uwanja wa Masumbani.

No comments

Powered by Blogger.