Header Ads

Dkt BILAL akata Utepe Maonesho ya Kimataifa ya Biashara na Kukuza Utalii

Makamu wa Rais wa Jahuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kufungua rasmi maonesho ya Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Kilimanjaro Tourism & Fair (Kilifair), Tom Kunkler, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipata maelezo kutoka kwa Meneja waFast Jet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati, wakati alipokuwa akitembelea mabanda ya maonesho baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mgimwa, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, kabla ya kumkaribisha mgeni rasmi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), uliofanyika leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi zawadi ya Saa, Meneja waFast Jet Afrika Mashariki, Jimmy Kibati, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa ya kukuza Biashara ya Utalii yaliyopewa jina la Swahili (SITE), yaliyoanza leo Okt 01, 2015 kwenye Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Picha na OMR

No comments

Powered by Blogger.