Header Ads

TIMU YA MIEMBENI YAITANDIKA RAHA LEO 4 - 0, MICHUANO YA MASAUNI CUP MJINI UNGUJA

Mgeni rasmi wa mchezo wa Bonaza kati ya Rahaleo na Miembeni Khamis Mbeto akisalimiana na wachezaji wa timu ya Rahaleo kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Miembeni, mchezo uliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja. timu ya Rahaleo imekubali kipigo cha mabao 4–0. 
Mgeni rasmi wa mchezo wa Bonaza Masauni Cup, kati ya Rahaleo na Miembeni Khamis Mbeto akisalimiana na wachezaji wa timu ya Miembeni kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Rahaleo  mchezo uliofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja. timu ya Rahaleo imekubali kipigo cha mabao 4–0.
Golikiwa Mkongwe wa Timu ya Miembbeni Saleh Machupa akiwa katika picha na wachezaji wezake ikiwa ni kumbukumbu yake kushiriki Bonaza hilo akiwa kipa wa timu ya Rahaleo akiwa tayari akishakubali kuruhusu mabao 6 golini kwake.
                                                                 Baba na Mwana.

Kikosi kabambe cha timu ya Miembeni kinachoongaza katika kundi lao ikiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza kwa mchezo wao na timu ya Rahaleo, wakati wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup linalofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja usiku.
 
Mchezaji wa timu ya Rahaleo na Miembeni wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Bonaza Masauni Cup, linalofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja ili kuinua viwango vya mchezo wa mpira Zanzibar.
 
Mchezaji wa timu ya Rahaleo na Miembeni wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Bonaza Masauni Cup, linalofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja ili kuinua viwango vya mchezo wa mpira Zanzibar.

No comments

Powered by Blogger.