Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. Jakaya
Mrisho Kikwete, Makamu wa Chuo hicho Profesa Rwekaza Mukandala, Balozi wa China
hapa nchini lu you Qing, maafisa wa kampuni ya Kutoka China ya Jiangsu Jiangdu
wakiweka mchanga kama ishara ya kuweka jiwe la msingi katika Maktaba Mpya ya
Chuo kikuu cha Dar es Salaam UD mara baada ya kuwasili chuoni hapo, Maktaba
hiyo itakuwa na uwezo wa kuchukua wanafunzi zaidi ya 2000 kwa wakati mmoja.
|
Post a Comment