Header Ads

Katibu Tawala Wilaya ya Ilala, EDWARD MPOGOLO azindua Kampeni ya Kupinga Ukatili

Bango liliandaliwa kwa ajili ya Maadhimisho hayo.
Katibu Tawala wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akiwasili kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Mwembeni, Vngunguti kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa Jinsia na watoto kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Mwwembeni, wilayani humo mkoani Dar es Salaam, leo. Pamoja naye ni Kamanda wa Polisi Ilala, Salum Hamdani.

Katibu Tawala wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo alifurahia jambo na Kamanda wa Polisi IlalaSalum Hamdan baada ya kuketi meza kuu.

Watoto wakiselebuka kwa burudani ya muziki wakati wa hafla hiyo.

Maandamano maalum yakipita mitaani, kwenda kwenye viwanja vya shule ya msingi Mwembeni ambako yalipokelewa na Ofisa Tawala wa wilaya ya Ilala Edward Mpogolo.

Ofisa Tawala wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Kamanda Salum Hamdani na Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, ambaye ni Diwani wa Kata ya Vingunguti Omari Kumbilamoto, wakiwa wamesimama kupokea maandamano hayo.

MC wa shughuli hiyo, Eugen Mwapondele akihamasisha.

Watoto kutoka kikundi cha Kituo cha Mwana cha Vingunguti wakiimba wimbo Maalum.

Watoto kutoka kikundi cha Kituo cha Mwana cha Vingunguti wakiimba wimbo Maalum.

Baadhi ya waliohudhuria wakitoa ujumbe kwa bango.

Sheikh  Mohammed Mtutuma akisoma dua kabla ya shughuli kuendelea.

Mratibu wa shughuli hiyo Judith Faustine akiomba dua kabla ya shughuli kuendelea.

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala, Omari Kumbilamoto akitoa salamu, baada ya kukaribishwa kuwasalimia wananchi katika hafla hiyo.

Mwakilishi wa Taasisi ya WiLDAF akizungumza.

Kamanda wa Polisi Ilala, ACP Salum Hamdani akizungumza wakati wa uzinduzi wa maadhimisho hayo.

Katibu Tawala wa Ilala Edward Mpogolo akitoa hotuba yake wakati wa uzinduzi wa maadhimisho hayo. 

Vijana wakifuatilia hotuba ya Mpogolo.

kamanda wa Polisi Ilala, ACP Salum Hamdani na Katibu tawala wa Ilala Edward Mpogolo wakiwa wameshika TV tayari kuwakabidhi watoto wa kituo cha Mwana cha Buguruni, ili waweze kuwa wanaangalia taarifa mbalimbali na burudani bila kulazimika kutoka kwenye kituo chao, Wapili Kulia ni Diwani Kumbilamto.

No comments

Powered by Blogger.