Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA aongoza Waombolezaji Mazishi ya SAMUEL SITTA
![]() |
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na Mkewe Mary wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Spika Mstaafu Samuel Sitta yaliyofanyika Urambo Novemba 12, 2016. |
![]() |
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa na mkewe Mary wakitupa udongo kwenye kaburi la Spika Mstaafu, Samuel Sitta katika mazishi yaliyofanyika Urambo, Novemba 12, 2016. |
Post a Comment