Header Ads

Taswira ya Leo Bungeni Mjini Dodoma

Baadhi ya wabunge wakiwasili katika viwanja vya Bunge kuhudhuria mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.
 Mwenyekiti wa Bunge Mhe. Najma Giga akiongoza mkutano wa tano wa Bunge la 11 unaoendelea Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa(kulia) akijadiliana jambo na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Mabula(kushoto) wakati wa mkutano wa tano wa Bunge la 11 linaloendelea Mjini Dodoma.

Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania likiendelea na mkutano wa tano wa Bunge la 11 Mjini Dodoma.

No comments

Powered by Blogger.