Header Ads

Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dkt TULIA ACKSON awa Kinara wa Uchezaji Netiboli

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Akson (kulia), wa timu ya Bunge  akidaka mpira ulioelekezwa golini kwake walipocheza na timu ya Wilaya ya Chato katika mchezo wa kirafiki wa netiboli uliofanyika hivi karibuni kwenye Uwanja wa Jamhuri Dodoma. 








No comments

Powered by Blogger.