Header Ads

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU ahudhuria Msiba wa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Zanzibar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa pole mke wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar, Marehemu Ferouz Bi. Shara Ferouz nyumbani kwake Mtaa wa Mbweni Zanzibar.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amejumuika kwenye  na ndugu na jamaa msibani kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar, Marehemu Salehe Ramadhan Ferouz  nyumbani kwake Mtaa wa Mbweni Zanzibar.

 Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa CCM Zanzibar, Marehemu Salehe Ramadhan Ferouz likitolewa nyumbani kwake Mtaa wa Mbweni Zanzibar tayari kwenda kuswaliwa.

No comments

Powered by Blogger.