Kituo cha Utamaduni cha China chazindua Maonesho ya Utamaduni wa Nchi hiyo.
![]() |
Mkuu
wa kituo cha Utamaduni wa China hapa nchini Bw.Gao Wei akiwaonesha waandishi wa
habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar
es Salaam baadhi ya maonyesho yatakayoneshwa kuanzia tarehe 12 hadi 24 Novemba
mwaka huu katika Makumbusho ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
|



Post a Comment