Header Ads

Dkt MAGUFULI awashukuru Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili


Rais wa Tanzania Dkt John Magufuli akitoka wodi ya Wagonjwa ya Sewahaji iliyoko katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, huku akiwapungia Mkono Wananchi  waliokuwa katika eneo hilo, mara baada ya kumaliza ziara ya kuwaona Wagonjwa waliolazwa kwenye Wodi hiyo. 

Rais Dkt John Magufuli akilipongeza Jopo la Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa Kazi nzuri wanayoendelea Kuifanya ya kuwahudumia Wagonjwa mbalimbali wanaofika kwenye Hospitali hiyo kwa lengo la Kupata Matibabu.
Rais Dkt John Magufuli akipita Kuwajulia hali Wagonjwa mbalimbali waliolazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli akimjulia hali Waziri wa Zamani Balozi Ramadhani Mapuri ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu.

No comments

Powered by Blogger.