Header Ads

Waziri wa Habari NAPE NNAUYE awaalika Wamiliki wa Blogs Bungeni Mjini Dodoma

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo, Nape Nnauye (aliyevaa miwani) akiwa katika picha  ya pamoja na wamiliki wa Blogs  (Bloggers) aliowaalika wakati wa kuwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha wa 2016/2017, bungeni Dodoma, Kushoto ni Naibu Waziri wa wizara hiyo,Annastazia  Wambura.

 Baadhi ya Wamiliki wa Blog za Matukio ya Habari, wakifuatilia Uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Habari iliyokuwa ikisomwa na Waziri mwenye Dhamana Nape Nnauye, Bungeni Mjini Dodoma leo.


 Waziri Kivuli wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Joseph Mbilinyi 'Mr Sugu' akisoma taarifa ya maoni ya upinzani kuhusu wizara hiyo.

 Baadhi ya Bloggers wakisikiliza mwenendo wa Bunge, Wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Muda wa Chama cha Wamiliki wa Bloggers Tanzania (TBN).

 Waziri wa Habari Nape Nnauye akiwa na Bloggers pamoja na wasanii bungeni mjini Dodoma leo.

 Waziri wa Habari Nape Nnauye akiwa na Baadhi ya Wamiliki wa Blog Mbalimbali.

 Waziri wa Habari Nape Nnauye akisalimiana na Mmiliki wa Mtandao wa www.habari360.com Ndugu Salum Mwinyimkuu leo Bungeni Mjini Dodoma baada ya Kuwasilishwa kwa Bajeti ya Wizara ya Habari.

Mmiliki wa Blog ya Fullshangwe, John Bukuku (kushoto) na Mmiliki wa Mtandao wa www.habari360.com Ndugu Salum Mwinyimkuu wakiwa na mwandishi wa habari wa Raia Tanzania, Sharifa Malira.

 PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA 

No comments

Powered by Blogger.