Header Ads

Sherehe za Maadhimisho ya MEI MOSI zafana Jijini Dar es Salaam

Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Pensheni PPF, wakiwa katika maandamano wakipita mbele ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda (hayupo pichani) wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo. 

 Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na baadhi ya waheshimiwa wengine wakisimama Jukwaa kuu wakati wakipokea rasmi maandamano ya Wafanyakazi wakati wa sherehe za maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) zilizofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, leo Mei 1, 2016.

 Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania.

 Raawu......

 Sehemu ya wafanyakazi waliohudhuria sherehe hizo......

Baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakisebeneka katika gari lao wakiwa njiani kuelekea Uwanja wa Uhuru kwa ajili ya kushiriki sherehe hizoleo asubuhi.....

No comments

Powered by Blogger.