Rais Dkt JOHN MAGUFULI azungumza na Wananchi Mbalimbali Alipokuwa Safarini Kuelekea ARUSHA
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na
mamia ya wakazi wa Babati Mkoani Manyara waliomsimamisha wakati akitokea Dodoma
kuelekea mjini Arusha.
|
![]() |
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia na
mamia ya wakazi wa Magugu mkoani Manyara wakati akielekea Mkoani Arusha.
|
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyabiashara wa Stendi ya Mabasi ya Singida wakati alipokuwa njiania kuelekea Arusha. |
![]() |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akizungumza na wakazi wa Endasak mkoani Manyara wakati akitokea Dodoma
kuelekea Arusha kwa njia ya barabara.
|
Post a Comment