Header Ads

Mmoja wa Waanzilishi wa Muziki wa HIP HOP hapa nchini, awa Mtayarishaji Mzuri wa Muziki nje ya TANZANIA



Mmoja wa waasisi wa muziki wa kufoka foka nchini Chief Rhymson kutoka kundi la Kwanza Unit ambaye kwa sasa anafahamika kwa jina la Zavara ameendelea kufanya kazi zake za kimuziki katika eneo la uandaaji, uongozaji na kutengeneza video na hii moja ya kazi ya mikono yake inayozunguka duniani.

No comments

Powered by Blogger.