Header Ads

Kampuni ya Mawasiliano ya TIGO yakabidhi Vyandarua Hospitali ya UKEREWE

Mkurugenzi wa Kanda ya ziwa wa mtandao wa tigo Ali Maswanya(fulana ya blue), akimkabidhi Vyandarua 80 Kaimu Mganga Mkuu wa  Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe Dk Kaniki Titus,kwenye hafla ya Makabidhiano iliyofanyika Mwanza juzi.
Mkurugenzi wa Mikakati(Director of Strategy)wa tigo Kobbina Awuah(wa tatu kushoto) akimkabidhi Vyandarua 80 Kaimu Mganga Mkuu wa  Hospitali ya Wilaya ya Ukerewe Dk Kaniki Titus,kwenye hafla ya Makabidhiano iliyofanyika Mwanza juzi.

No comments

Powered by Blogger.