Header Ads

Mwenyekiti wa CCM, Dkt KIKWETE ahudhuria Sherehe za Mwisho za Kuzaliwa kwa CCM akiwa Mwenyekiti

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwapungua mkono wananchi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Namfua mjini Singida jana, katika Kilele cha Sherehe za Maashimisho ya miaka 39 ya CCM. Kwa mujibu wa maelezo yake, Sherehe hizo kwake ni za Mwisho akiwa Mwenyeiti wa Chama Cha Mapinduzi. 






No comments

Powered by Blogger.