Header Ads

Dkt JAKAYA KIKWETE aongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM mjini DODOMA

 Mjumba wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akimkaribisha, Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete alipowasili, Ikuu Ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma, kuendesha Kikao Cha Kamati Kuu Maalum ya CCM.

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiwa na Mjumba wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli alipowasili, Ikuu Ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma, kuendesha Kikao Cha Kamati Kuu Maalum ya CCM.

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu, Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino mkoani Dodoma. Kulia ni Rais Magufuli.

  Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idi, baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino mkoani Dodoma.

  Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Philip Mangula, baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino mkoani Dodoma.

  Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimsalimia Mumbe wa Kamati Kuu, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa,  baada ya kuwasili ukumbini kuendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM leo, Chamwino mkoani Dodoma.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu mwenzake, Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsalimia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli kabla ya kikao kuanza. Katikati yao ni Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.

 Viongozi hao wakiendelea na mazungumzo ya hapa na pale kabla ya kikao kuanza.

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu akaya Kikwete akifurahia ambo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk. John Magufuli na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kabla ya kikao kuanza.

 Wajumbe wakisimama ukumbini kumlaki Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete kabla ya kikao kuanza.

 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Rais Dk John Magufuli na Makamu wake, Mama Samia Suluhu Hassan wakiwa ukumbini.

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye akibadilishana mawazo na Katibu wa NEC anayeshughulikia mambo ya Nje Dk. Asha-Rose Migiro ukumbini. Kulia ni Katibu wa NEC Oganaizesheni Mohammed Seif Khatib.

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Rajabu Luhavi akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ally Vuai na Balozi Seif Ali Idd  ukumbini.

 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Pindi Chana na Asha Aboud wakibadilishana mawazo ukumbini.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitoa
utangulizi kumkaribisha Mwenyekiti kufungua kikao.

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, leo, Ikulu Ndogo ya Chamwino mkoani Dodoma. 

PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

No comments

Powered by Blogger.