Header Ads

CCM yaadhimisha Miaka 39 tangu Kuzaliwa Kwake Mwaka 1977

Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Namfua mkoani Singida kwa ajili ya kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi CCM..
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wanachama wa CCM pamoja na wakazi wa Singida kwenye uwanja wa Namfua waliohudhuria kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi CCM.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mamia ya wanachama wa CCM pamoja na wakazi wa Singida kwenye uwanja wa Namfua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akijadiliana jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete kulia pamoja na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Singida.
Rais  wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahmani Kinana. 
Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete akihutubia mamia ya wanachama wa CCM mkoani Singida.
Rais  wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa katika sherehe hizo mkoani Singida.
Rais  wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akipongezwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Abrahamani Kinana pamoja na Makamu mwenyekiti wa CCM Taifa  Philip Mangula mara baada ya kuhutubia wakazi wa Singida.
Rais  wa Jamhuri ya Muungano Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Rais Mstaafu wa awamu ya nne na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Jakaya Kikwete wakiondoka mara baada ya kuisha kwa sherehe za kumbukumbu ya kuzaliwa chama cha Mapinduzi CCM Mkoani Singida-Picha na IKULU

No comments

Powered by Blogger.