Header Ads

Rais Mstaafu Dkt JAKAYA KIKWETE ashiriki Zoezi la Usafi Soko Kuu la CHALINZE

Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakifanya usafi katika soko kuu la Chalinze leo Desemba 9, 2015 ikiwa ni kuadhimisha miaka 54 ya UHURU kama ilivyoagizwa na Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli.

No comments

Powered by Blogger.