Header Ads

SABINA LEONCE KOMBA atunukiwa Shahada yake ya Pili Katika Uongozi wa Miradi

san2
Sabina Leonce Komba ambaye ni mtumishi wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa (NHIF) akipozi kwa picha mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya pili (Masters) ya Uongozi wa Miradi aliyoipata Katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kwenye mahafali ya 27 ya chuo hicho yaliyofanyika Desemba 16 mwaka huu katika viwanja vya Bungo Kibaha mkoani Pwani.

san3 san4
Sabina Leonce Komba ambaye ni mtumishi wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF akipozi kwa picha na wenzake katika mahafali hayo.

san5
Sabina Leonce Komba ambaye ni mtumishi wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF pamoja na wenzake wakisubiri kuanza kwa ratiba ya mahafali hayo.

No comments

Powered by Blogger.