Header Ads

Mabondia Wapima Uzito Kuzichapa Kesho Mjini MOROGORO

Bondia Vicent Mbilinyi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Deo Njiku utakaofanyika katika uwanja wa Jamhuri Morogoro siku ya Desemba 25.
Mabondia Deo Njiku kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho katika uwanja wa jamhuri Morogoro.



Lulu Kayage akipima uzito.

Mwanne Haji akipima uzito.

Promota Kaike Siraju katikati akiwainia mikono juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao siku ya desemba 25 katika uwanja wa jamhuri Morogoro.

Mabondia Thomas Mashali na Fransic Cheka wakitambiana baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Desemba 25 utakaofanyika katika uwanja wa jamhuri Morogoro.

No comments

Powered by Blogger.