Header Ads

Naibu Waziri wa Habari ANASTAZIA WAMBURA apewa Maelezo ya Mradi Kituo cha Sanaa Wilayani BAGAMOYO

Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya lugha Bi Shani Kitogo kulia akimuelezea Naibu Waziri Mh. Anastazia Wambura juu ya utendaji kazi wa Idara hiyo wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo alipofanya ziara kukagua utendaji kazi wa Idara za Wizara hiyo.
Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura akipata maelezo juu ya mradi wa  jengo la kituo cha sanaa na utamaduni litakalojengwa Bagamoyo mkoani Pwani, kushoto ni Bw. Habibu Msammy Afisa Utamaduni Mkuu.
: Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Assah Mwambene akimuelezea Naibu WaziriMh. Anastazia Wambura juu ya utendaji kazi wa Idara yake wakati wa ziara ya Naibu Waziri aliyoifanya Wizarani hapo kujionea utendaji kazi wa Idara ya habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya lugha Bi Shani Kitogo kulia akimuelezea Naibu Waziri Mh. Anastazia Wambura juu ya utendaji kazi wa Idara hiyo wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo alipofanya ziara kukagua utendaji kazi wa Idara za Wizara hiyo. (Picha na Benjamin Sawe-WHSUM)

No comments

Powered by Blogger.