Header Ads

Bondia THOMAS MASHALI amtwanga FRANCIS CHEKA mjini MOROGORO

Mabondia wa kike Lulu Kayage kushoto na Mwanne Haji wakioneshana umwamba kastika mpambano wao wa ubingwa wa raundi kumi ambapo lulu kayage alibuka bingwa wa TPBC kwa kumpiga Mwanne kwa point.

Bondia Lulu Kayage kushoto akimtwanga ngumi Mwanne Haji wakati wa mpambano wao wa ubingwa Lulu alishinda kwa point katika mpambano huo wa raundi kumi.

Mabondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao Lulu alishinda kwa point.

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Deo Njiku wakati wa mpambano wao wa raundi sita Mbilinyi alishinda kwa point mpambano huo.

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Deo Njiku wakati wa mpambano wao wa raundi sita Mbilinyi alishinda kwa point mpambano huo.

MABONDIA VICENT MBILINYI Kushoto SHABANI KAONEKA na IMAN DAUDI MAPAMBANO Wakishangilia Ushindi wa MBILINYI.

Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba na Fransic Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Morogoro Mashali alishinda kwa point mpambano huo wa raundi kumi.


 Bondia Thomas Mashali kushoto akioneshana umwamba na Francis Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Morogoro Mashali alishinda kwa point mpambano huo wa raundi kumi.

No comments

Powered by Blogger.