Header Ads

Hatimae Rais Dkt JOHN MAGUFULI atangaza Baraza Jipya la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisoma kwa waandishi wa Habari(Hawapo pichani) Baraza Jipya la Mawaziri ikulu leo Jijini Dar es Salaam, Kulia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwaonesha waandishi wa Habari(Hawapo pichani) taarifa ya Tafiti alizozifanya kwenye nchi mbalimbali kuhusu mabaraza ya Mawaziri yaliyosaidia kumpa muelekeo, wakati wa mkutano uliofanyika ikulu leo Jijini Dar es Salaam, Kulia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Majaliwa Kassim Majaliwa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Waandishi wa Habari mara baada ya Kumalizika kwa mkutano wa kutangaza baraza jipya la mawaziri leo ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na waandishi waliohudhuria mkutano huo ikulu jijini Dar es Salaam
(Picha na Hassan Silayo)

No comments

Powered by Blogger.