Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULI aliapisha Baraza lake la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Sospeter Mwijarubi Muhongo (Mb) kuwa Waziri wa Nishati na Madini Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu Jenista Joakim Mhagama (Mb) kuwa Waziri wa Nchi , Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge ,kazi ,Vijana Ajira na Wenye ulemavu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Abdallah Saleh Possi (Mb) kuwa Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye ulemavu) Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu  Anthony Peter Mavunde (Mb) kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi Vijana na Ajira, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu  Angeline Silvester Lubala Mabula (Mb) kuwa Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu  Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwa Waziri wa Kilimo Mifugo na Uvuvi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Ndugu  Ummy Ally Mwalimu (Mb) kuwa Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi  Muongozo wa kufanyia kazi  kwa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt Harrison George  Mwakyembe (Mb) mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam. Picha na Ikulu.

No comments

Powered by Blogger.