Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA awasili Mkoani KIGOMA kwa Ziara ya Siku Mbili

kig3
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Issa Machibya baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo Desemba 28, 2015. Kushoto ni Mwenye kiyi wa CCM wa mkoa wa Kigoma, Walid Kabourou. 
kig1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku mbili mkoani humo Desemba 28, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Issa Machibya

No comments

Powered by Blogger.