Rais Dkt JOHN MAGUFULI ashiriki Misa ya KRISMASI Kanisa la Mtakatifu PETER Jijini Dar es Salaam
![]() |
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwasili kushiriki Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015 |
![]() |
Sehemu ya waumini katika Ibada ya Krismas misa ya kwanza katika Kanisa la Mtakatifu Peter jijini Dar es salaam leo Desemba 25, 2015 |
Post a Comment