Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULI amuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali GEORGE MASAJU

Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli mara baada ya kuteuliwa katika nafasi hiyo Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa kushika wadhifa huo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akitia saini hati ya kiapo mara baada ya kumuapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyaraka Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju mara baada ya kumuapisha Leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mkuu Othuman Chande,Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan na spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Anne Makinda.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wanafamilia ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
(Picha na Hassan Silayo-MAELEZO)

No comments

Powered by Blogger.