Header Ads

Hivi ndivyo Rais KIKWETE alivyoketi mara ya Mwisho Ofisini Kwake !

Rais JAKAYA KIKWETE akiwa ameketi Ofisini Kwake Ikulu ya Magogoni Jijini Dar es Salaam, ambapo itakuwa ni mara yake ya Mwisho kufanya kazi katika Ofisi hiyo, Kesho anatarajia kumkabidhi rasmi Dkt JOHN MAGUFULI nafasi ya kuwaongoza Watanzania kwa kipindi cha miaka mitano Ijayo. 

No comments

Powered by Blogger.