Header Ads

RAIS KIKWETE KUONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA ALBINO ARUSHA








mail.google.com
Mwenyekiti wa Chama Cha Albino Tanzania, Ernest Kimaya akimkaribisha Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro(KIA) muda mfupi baada ya kuwasili leo jioni. 

Rais Kikwete atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya kimataifa wa Albino itakayofanyika katika uwanja wa michezo wa Sheikh Amri Abeid.

kushoto ni Bwana Godson Molel mwenyekiti wa Chama cha Albino Mkoa wa Arusha. (picha na Freddy Maro)

No comments

Powered by Blogger.