Waziri JENISTA MHAGAMA akutana na Kamati ya Uratibu wa Maafa Mkoani KAGERA
Mkuu wa Wilaya ya Bukoba Mhe.Deodatus Kinawiro akichangia hoja wakati wa Kikao cha Kamati ya Uratibu wa Maafa Mkoa wa Kagera kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu Mkoa Kagera. |
Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Uratibu wa Maafa Mkoa wa Kagera wakiendelea na kikao cha kujadili na kufanya tathimini ya hali ya athari ya Maafa ya Tetemeko la Ardhi Mkoani Kagera. |
Post a Comment