Dkt JAKAYA KIKWETE akutana na Ujumbe wa Watalaamu wa Kilimo na Mifugo Kutoka CHINA
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya Kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, leo, kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni kiongozi wa Ujumbe huo Li Lin.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM akimpatia kipeperushi Mkuu wa msafara kutoka Jimbo a Fujian China.
Baadhi ya wajumbe wakitazama kipeperushi hicho.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkabidhi zawadi maalum Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, baada ya mazungumzo hayo.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akikabidhiwa zawadi maalum na Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akikabidhiwa zawadi maalum na Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akibadilishana mawazo Mkuu wa Msafara wa ujumbe wa Umoja wa Ushirikiano na Nchi za Nje wa Wataalam wa masuala ya kilimo na Mifugo kutoka Fujian China, Mwenyekiti wa Umoja huo, Li Lin, alipowasili ukumbini tayari kwa mazungumzo.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe huo kutoka Fujian na Ujumbe wa upande wake baada ya mazungumzo.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimpongeza kwa kazi nzuri, Profesa wa masuala ya Kilimo, Lin Zhanx bada ya picha ya pamoja. Kikwete amevutiwa na Profesa huyo kwa kuweza kugundua uoteshaji wa uyoga mahsusi kwa dawa badala ya ule wa chakula tu.
Mwenyekiti Mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimtambulisha Profesa huyo, kwa Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Dkt. Charles Tizeba.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiagana na mkuu wa msafara wa ujumbe huo kutoka Fujian.
Wageni wakipanda gari kuondoka Ofisi Ndogo ya MakaoMakuu ya CCM, Lumumba jijni Dar es Salaam, baada ya mazungumzo hayo.
Mwenyekiti mstaafu wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akiteta na Tizeba baada ya wageni kuondoka.
Kisha naye akawaaga kabla ya kuondoka.
Post a Comment