Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya
Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (kulia) akizungumza na waandishi wa habari
(ambao hawapo pichani) leo jijini Dar es Salaam kuhusu uchaguzi wa wabunge unaotarajiwa
kufanyika Tarehe 13/12/2015 katika jimbo Handeni na Arusha Mjini,(kushoto) ni Kaimu
Mkurugenzi Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura Bw.Clarence Nanyaro kutoka
Tume ya Taifa ya Uchaguzi. |
Post a Comment