Naibu Waziri Wizara
ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Anastazia Wambura katikati akipata
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali
Bw. Assah Mwambene wa kwanza kulia ya jinsi ya kutunza picha za matukio
mbalimbali wakati alipofanya ziara Idarani hapo leo, kushoto ni Afisa Habari
Mkuu Anna Itenda.(picha na Benjamini Sawe-WHSUM).
|
Post a Comment