Rais Dkt JOHN MAGUFULI apokea Ujumbe Maalum Kutoka kwa Wazir Mkuu wa JAPAN
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe
maalum wa Waziri Mkuu wa Japan Seiji Kiara mara baada ya kufanya nae Mazungumzo
Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mjumbe
maalum wa Rais wa Sudan Balozi Kamal Ismail aliyetumwa na Rais wa Sudan
Mheshimiwa Omar Al Bashir.
|
Post a Comment