Hawa Ndio Wanaounda Baraza la Mawaziri Jipya
BARAZA LA MAWAZIRI 2015
*Wizara ya Ofisi ya Rais,Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.
Mawaziri – George Simbachawene na Angella Kairuki
Naibu Waziri – Sumeilam Jafo. Naibu.
*Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Raisi, Muungano na Mazingira
Waziri – January Makamba
Naibu Waziri – Luhaga Jerrson Mpina
*Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri – Jenista Muhagama
MaNaibu – Dkt. Possy Abdallah na Anthony Mavunde.
*Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri – Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri – William Ole Nasha.
*Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Inj. Edwin Ambandusi Ngonyani.
*Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri – Ashantu Kizachi.
*Wizara ya Nishati na Madini
Waziri – Prof. Mwigalumi Muhongo.
Naibu Waziri – Dr. Medalled Kalemani.
*Wizara ya Katiba na Sheria,
Waziri – Harrison Mwakyembe.
*Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri – Dk. Augustino Mahiga
Naibu Waziri – Dkt. Susan Kolimba.
*Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Dk. Hussein Mwinyi.
*Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Charles Kitwanga.
*Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri – William Lukuvi
Naibu Waziri – Angelina Mabula.
*Wizara ya Maliasili na Utalii
*Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri Bado hajapatikana.
Naibu Waziri– Inj. Ramol Makani.
*Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri Charles Mwijage.
*Wizara ya Elimu,Sayansi Teknolojia na Ufundi.
Waziri Bado hajapatikana
Naibu Waziri – Inj. Stella Manyanya.
*Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri – Ummy Mwalim
Naibu Waziri – Dkt. Hamis Kigwangala.
*Wizara ya Habari, Utamaduni, Wasanii na Michezo
Waziri – Nape Nnauye
Naibu Waziri – Anastasia Wambura.
*Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Prof. Makame Mbarawa
Naibu Waziri– Inj. Isack Kamwela
Post a Comment