Chama cha Afya ya Jamii TPHA watembelea Hospitali ya Utafiti wa Magonjwa na Tiba
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital" iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma UDOM. Ziara hiyo imefanyika jana Desemba Mosi.
(Picha zote na Andrew Chale)
.........................................................
[DODOMA] Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) kipo katika mkutano wake mkuu wa 32 wa mwaka unaofanyika mjini hapa huku ukishirikisha wanachama mbalimbali kutoka 'Chapter' za mikoa zaidi ya 10 nchini.
Mkutano huo wa mwaka ulioanza Novemba 30 mwaka huu na kufunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Bi. Chiku Gallawa na viongozi wengine mbalimbali wa mkoa huo umeweza kuwa wa matumaini kwa Serikali kwani imepongeza juhudi zinazofanywa na TPHA hapa nchini ikiwemo kuhakikisha wananchi wote wanapata afya na elimu sahihi ya tiba.
Siku ya pili ya Mkutano huo wa TPHA, Desemba Mosi, Wanachama wameweza kutembelea Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital" iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) na kujionea mambo mbalimbali hi ni kuhakikisha mambo ya msingi katika sekta ya afya yanafanikiwa kama ilivyo dira ya Chama hicho.
Aidha, mada mbalimbali za kitaalamu kuhusiana na masuala ya afya na kisayansi zaidi ya 10 zimeweza kuwasilishwa hiyo jana.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa jengo hilo la Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital" (aliyekunja mikono katikati).
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakiwa katika moja ya maeneo ya jengo hilo la Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital" iliyopo ndani ya viunga vya Chuo kikuu cha Dodoma UDOM.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maafisa wa Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital".
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakiongozwa na mwenyeji wao (mwenye koti jeusi mbele) katika Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital".
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakiwa katika moja ya chumba cha maabara cha Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital".
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Afya ya Jamii Tanzania ( Tanzania Health Public Association-TPHA) wakipata maelezo ya Hospitali ya Utafiti wa magonjwa na Tiba ya "The Benjamin Mkapa Ultra modern Hospital".
Wanachama wakipata picha ya ukumbusho wakati wa kutoka katika jengo hilo.
Administrator wa TPHA, Eric akipiga picha ya ukumbusho katika jengo hilo..
Post a Comment