Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA afungua Miradi ya Maendeleo Wilayani MEATU

Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akifungua jengo la Maabara la Shule ya Sekondari ya Mwakaluba katika jimbo la Kisesa  akiwa aktika ziara ya mkoa wa Simiyu  Machi 5, 2016.   Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu , Dkt Titus Kamani na Wazpili kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, J. Mpina. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua maabara ya Shule ya Sekondari ya   Mwakalubi katika jimbo la Kisesa akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 5, 2016.
 Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akikagua shamba la pamba la mfano la mkulima  Gamuga Kimali  katika kijiji cha Nandoya wilayani Meatu akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 5, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongeza Mama Anastazia Petro kwa kujifungua salam mtoto wa kiume aliyepewa jina la Majaliwa  wakati alipotembelea Kituo cha Afya cha Mwandoya akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 5, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Madaktari na Wauguzi wa Kituo cha Afya cha Nandoya wilayani Meatu baada ya kuzindua jengo la upasuaji na kusalimia wagonjwa akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 5, 2016.

No comments

Powered by Blogger.