Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA aendelea na Ziara Mkoani SIMIYU akagua Miradi ya Maendeleo Wilaya ya ITILIMA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akikagua ujenzi wa Maabara katika shule ya Sekondari ya Budalabugija wilayani Itilima akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu Machi 4, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu Machi 4, 2016.

(P:icha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua bwawa la umwagiliaji na maji ya kunywa la kijiji cha Mkoma na Mwalushu wilayani Itilima akiwa katika ziara ya mkoa wa Simiyu, Machi 4, 2016. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwsalimia wananchi  baada ya kukagua bwawa la maji ya kunywa na umwagiliaji la vijiji vya Mkomana Mwalushu wilayani Itilima Machi 4, 2016. 
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo la Shinyanga, Liberatus Sangu wakati alipoitembelea  shule ya Sekondari ya Mwamapalala wilayni Itirima akiwa katika zira ya mkoa wa Simiyu Machi  4, 2016. 

No comments

Powered by Blogger.