Header Ads

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU afanya Mazungumzo na Waziri wa Afya UMMY MWALIMU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo March 04,2016 Kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu, wakati waziri Mwalimu alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo March 04,2016 Kwa ajili ya mazungumzo ya kikazi.

(Picha na OMR)

No comments

Powered by Blogger.