Header Ads

Rais Dkt JOHN MAGUFULI ahutubia Siku ya Mwaka Mpya wa Mahakama Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikaribishwa na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande  katika viwanja vya Mahakama Chimala jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Sherehe za Mwaka mpya wa Mahakama(Siku ya Sheria) .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson Mwansasu katika viwanja vya Mahakama Chimala jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu katika viwanja vya Mahakama Chimala jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika Sherehe za Mwaka mpya wa Mahakama(Siku ya Sheria).
Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akitoa hotuba yake katika viwanja vya Mahakama Chimala jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Chande Othman akitoa hotuba yake katika viwanja vya Mahakama.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na majaji pamoja na viongozi wengine mara baada ya kumaliza kuhutubia katika Sherehe za Mwaka mpya wa Mahakama(Siku ya Sheria) .

PICHA NA IKULU

No comments

Powered by Blogger.