Header Ads

Komredi ABDULRAHMAN KINANA awasili Mkoani SINGIDA katika Maadhimisho ya Miaka 39 ya CCM

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Parseko Kone alipowasili mjini Singida leo Jioni, kwa ajili ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa CCM yatakayofanyika mkoani Singida Februari 6, mwaka huu.Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye akisalimiana na wananchini.

 Komredi Kinana akisalimiana na Kone.

 Komredi Kinana akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Singida, Said Amanzi baada ya kuwasili Singida leo. 

 Nape Nnauye akisalimiana na wananchi alipowasili mjini Singida leo.

 Komredi Kinana akiwa na baadhi ya wananchi wa Singida waliomlaki.

 Komredi Kinana na Nape wakiwa na wafuasi wa CCM pamoja na wananchi baada ya kuwasili mjini Singida.

 Komredi Kinana akiwa na Kone (kulia) na Amanzi.

 Wananchi wakiimba wimbo wakati wa kumlaki Komredi Kinana.

Komredi Kinana akijadiliana jambo na Mkuu wa Mkoa wa Singida, Kone.


PICHA ZOTE NA KAMANDA WA RICHARD MWAIKENDA

No comments

Powered by Blogger.