Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Maokola anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa atakaozipiga na Joseph Sinkala march 12 katika ukumbi wa Dar live katikati ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'super D'. |
Post a Comment