Header Ads

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU HASSAN afungua Kituo cha Kukuza Wajasiriamali ZANZIBAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua kituo cha kukuza na kulea wajasiriamali (ZANZIBAR TECHNOLOGY AND BUSSNESS INCBATTION CENTER-ZTIBI) kiliopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar leo Januari 11, 2016, ikiwa ni moja ya miongoni mwa shamra shamra ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar inayofikia kilele chake kesho. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia moja ya mitambo inayotumia nguvu ya umeme wa jua ya kutengenezea nafaka za aina mbalimbali katika kituo cha kukuza na kulea wajasiriamali (ZANZIBAR TECHNOLOGY AND BUSSNESS INCBATTION CENTER-ZTIBI) kiliopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar leo Januari 11, 2016, baada ya kukifungua rasmi  ikiwa ni miongoni mwa shamra shamra ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar inayofikia kilele chake kesho. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Time Mohammed juu ya utenganishaji wa maji na maziwa katika kituo cha kukuza na kulea wajasiriamali (ZANZIBAR TECHNOLOGY AND BUSSNESS INCBATTION CENTER-ZTIBI) kiliopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar leo Januari 11, 2016, ikiwa ni moja ya miongoni mwa shamra shamra ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar inayofikia kilele chake kesho. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na mama Mwanamwema Shein katikati na Mama Asha Ali Iddi baada ya kutembelea maonesho ya kazi mbalimbali zinazofanywa na kituo cha kukuza na kulea wajasiriamali (ZANZIBAR TECHNOLOGY AND BUSSNESS INCBATTION CENTER-ZTIBI) kiliopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar leo Januari 11, 2016, ikiwa ni moja ya miongoni mwa shamra shamra ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar inayofikia kilele chake kesho.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wajasiriamali wa kituo cha kukuza na kulea wajasiriamali (ZANZIBAR TECHNOLOGY AND BUSSNESS INCBATTION CENTER-ZTIBI) kiliopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar leo Januari 11, 2016,baada ya kukizindua kituo hicho  ikiwa ni moja ya miongoni mwa shamra shamra ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi Zanzibar inayofikia kilele chake kesho. 

No comments

Powered by Blogger.