Header Ads

Makamu wa Rais SAMIA SULUHU akutana na Mabalozi wanaowakilisha Mataifa yao hapa Nchini

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Finland hapa Nchini Mhe. Pekka Hukka,  wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Januari 07,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea kitabu cha kinachoelezea Historia ya masuala ya Usuluhishi na migogoro kilichoandikwa na aliyekuwa Balozi wa zamani wa Finland hapa Nchini Mhe. Mart  Akhtsary  wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Januari 07,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Uholanzi hapa Nchini Mhe. Jaap Frederiks,  wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Januari 07,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Balozi wa Uholanzi hapa Nchini Mhe. Jaap Frederiks, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao wakati Balozi huyo alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo Januari 07,2016 kwa ajili ya kujitambulisha.

(Picha na OMR)

No comments

Powered by Blogger.