Header Ads

Waziri Mkuu KASSIM MAJALIWA akagua Soko la Mwanjelwa,Mbeya

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi  wakati alipowasili wenye soko kuu la kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya kulikagua.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua soko la Kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya Agosti 9, 2016.  Kulia kwake ni Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Amos Makalla.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi baada ya kutembelea soko jipya la kimataifa la Mwanjelwa jijini Mbeya, Agosti 9, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary  wakiagana na viongozi wa serikali  kabla ya kuondoka kwenye uwanja wa  ndege wa Songwe Mbeya  kurejea Dar es salaam Agosti 9, 2016, Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Harrison Mwakyembe na wapili kulia ni Mkuu wa mkoa wa Rukwa Zelote Stephene.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments

Powered by Blogger.