Header Ads

Rais wa Zanzibar Dkt ALI SHEIN afanya Mazungumzo na Balozi Mdogo wa INDIA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi mdogo wa India anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Tek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja kwa mazungumzo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akizungumza na Balozi mdogo wa India anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Tek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akifuatana na Balozi mdogo wa India anayefanyia kazi Zanzibar Mhe,Tek Chand Barupai  alipofika Ikulu Mjini Unguja leo baada ya  mazungumzo yao.

( Picha na Ikulu )

No comments

Powered by Blogger.