Header Ads

Dkt MAGUFULI ahudhuria Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya Ndoa ya Mzee BENJAMINI MKAPA

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe wakati akiwasili kuhudhuria  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 "Maharusi"  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiingia kanisani  tayari kwa  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa  wakiwa tayari kwa  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa  na wageni waalikwa akiwemo Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli  katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 Sehemu ya wanafamilia wa Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa    katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 MC Mavunde akipiga kinanda wakati wa  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

  Sehemu ya wanafamilia wa Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa    katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 Sehemu ya waumini na wageni waalikwa   katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo  katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

  Wanakwaya katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo  katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 Kiongozi wa kwaya  katika  Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo  katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe akiongoza Ibada ya ukumbusho wa ahadi za ndoa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 Rais Dkt Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na waumini na wageni waalikwa  wakiwa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe akiongoza Ibada ya ukumbusho wa ahadi za ndoa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akimvisha pete Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akivishwa pete na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam leo Jumamosi Agosti 27, 2016.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakifurahia jambo baada ya zoezi hilo.

 Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe akitoa neno kwa "maharusi" hao wenye furaha .

  Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro  Fr. Stephano Kaombwe akitoa neno kwa "maharusi" . Kulia ni  Balozi Anthony Nyaki aliyesimamia harusi yao siku kama ya leo miaka 50 iliyopita, Matron alikuwa Marehemu Lucy Lameck.

  Rais Dkt Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na waumini na wageni wakiendelea na misa.

 Mawaziri wakuu wastaafu walikuwepo. Kutoka kushoto ni Jaji Joseph Sinde Warioba na mkewe Evelyn Warioba. Mzee Cleopa Msuya, Mama Amne Salim na mumewe Dkt. Salim Ahmed Salim na Mhe Edward Lowasssa na mkewe mama Regina Lowassa.

 Sir Andy Chande akiungana na waalikwa katika misa hiyo.

 Mohamed Dewji na mkewe wakiwa katika misa hiyo.

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtakia amani Mama Anna Mkapa.

Mama Janeth Magufuli na Mama Maria Nyerere wakiwatakia amani Mzee Mkapa na Mama Anna Mkapa.

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtakia amani Mhe. Edward Lowassa.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea hati malumu ya ndoa kutoka Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francis kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipongezwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakionesha hati yao  maalumu kutoka  Vatican.

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa na hati yao kutoka Vatican.

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea.
 Kila mtu anafurahia mafundisho ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea zawadi kutoka Paroko ya Upanga ya Mt. Imakulata.
 Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimia na kuwapongeza Mzee Mkapa ma mkewe.

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akifurahia jambo.

 Wote wanafurahia hotuba ya Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Rais Dkt John Pombe Magufuli .
 Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Martin Shoo akitambulishwa kanisani hapo.

 Ni wakati wa kupata picha za kumbukumbu ambapo Mzee Mkapa na Mama Anna Mkapa wanaanza na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na  Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu 
 Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Martin Shoo akimpongeza Mama Anna Mkapa
 Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Martin Shoo Mhe Benjamin William Mkapa
 Picha na viongozi wastaafu na wana familia 
 Picha na waliosoma na Mzee Mkapa
 Picha na kamati ya maandalizi.

 Picha na viongozi wastaafu na walio kazini.

 Picha na watoto wa kutoka Kituo cha Kulea Watoto Yatima cha Kibaha (Kibaha The EOTF Orpham Centre) .

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipozi na Sir Andy Chande .

 Ukumbi wa sherehe.

 Msafara ukielekea ukumbini.

 Viongozi waalikwa.

 Viongozi wastaafu.

 MC Angela Bondo kazini.

 Sehemu ya waalikwa.

 Taswira ya mbele.

 Meza ya wana familia.

 Burudani ya muziki.

wakielekea jukwaani kukata keki.

 Ni wakati wa keki.

 Wakikata keki.

 Wakilishana keki huku wakishuhudiwa na msimamizi wa ndoa yao miaka 50 iliyopita Balozi  Anthony Nyaki.

 Wajukuu, watoto, wakwe wakilishwa keki.

 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mama Maria Nyerere na Mama Shadya Karume.

 Wanafamilia wakijadiliana jambo.

 Taswira ya ukumbi.

 Bw. Nicholaus Mkapa akimimina champagne isiyo na kilevi  meza kuu.

 Bw. Nicholaus Mkapa akijianda kumimina champagne isiyo na kilevi  kwa Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahman Kinana.

 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumishi wa Umma) Mstaafu Mhe.  Joseph Rugumyamheto akiwatakia wote maisha marefu kwa kuongoza toast.

  Meza kuu wakigonganishiana glasi na Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa.

 Meza kuu wakigonganishiana glasi na Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akigongesha glasi na Mama Maria Nyerere, Mama Shadya Karume na Mama Salma Kikwete.

   Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akigongesha glasi na Katibu Mkuu Kiongozi Eng. John Kijazi na Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman.

  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakigongesha glasi na Katibu Mkuu Kiongozi Eng. John Kijazi, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Spika Mstaafu Mamam Anne Makinda.

  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakigongesha glasi viongozi  wastaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM na katibu Mkuu wake.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakigongesha glasi viongozi  wastaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM na katibu Mkuu wake.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakigongesha glasi viongozi  wastaafu.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahaman Kinana akisalimiana na Waziri mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa.

 Mama Salma Kikwete akisalimiana na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Mhe. Alnoor Kassum  na mkewe Mama Kassum.

 Watoto kutoka Kituo cha Kulea Watoto Yatima cha Kibaha (Kibaha The EOTF Orpham Centre) wakiwaimbia babu na bibi Mkapa.

 Msemaji wa familia ya Mzee Mkapa Bw. William Erio akitoa shukurani kwa wote waliofika na pia waliofanikisha sherehe hizo.

 Sheikh wa mkowa wa Dar es salaam Ahaj Alhad Mussa Salum akisema machache.

 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapongeza Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa.
  Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akitoa shukurani zake kwa wote waliohudhuria na waliofanikisha sherehe hizo.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akitoa shukurani zake kwa wote waliohudhuria na waliofanikisha sherehe hizo.

 Rais Dkt. Magufuli na mkewa Mama Janeth Magufuli wakiwapongeza Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa.
  Rais Dkt. Magufuli na mkewa Mama Janeth Magufuli wakiwapongeza Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa.
  Rais Dkt. Magufuli na mkewa Mama Janeth Magufuli wakiwakabidhi zawadi Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na mkewe Mama Anna Mkapa.
 Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu wa zamani Mhe. Edward Lowassa. Kushoto ni Mama Regina Lowassa.

  Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na  Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Bishop Eusebius Nzigilwa.

 Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakipozi na viongozi wa dini. Kutoka kushoto ni Sheikh Alhad Mussa Salum, Shekhe wa mkoa wa Dar es salaam, Rais Magufuli, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Martin Shoo, Mama Janeth Shoo na Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Bishop Eusebius Nzigilwa.

 Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete  wakipozi na wajukuu wa Mzee Mkapa.

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akiongea na Mama Maria Nyerere.

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa pamoja na Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Mama Salma Kikwete wakipozi na wajukuu wa Mzee Mkapa. 

                                                           Picha zote na IKULU

No comments

Powered by Blogger.